Huwa nachukia sana 'Unafiki' kama huu hasa pale Mtu maarufu au wa Kawaida tu anapofariki dunia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
gersonmsigwa Mwamba ' Fredwaa ' nilikuwa na hamu sana ya kukutana nawe siku moja, lakini haikutokea na leo umelala milele.

Nilitaka kukwambia wewe ni Mwanamapinduzi wa utangazaji. Mimi mtangazaji mwenzako nilivutiwa sana na jinsi ulivyokuwa unaupigwa mwingi sana kwenye microphone šŸŽ¤.

Sindano 5 za moto zilitupa burudani sana sisi Wananzengo.

Hivi Gerson Msigwa unataka Kutudanganya kuwa kwa Hadhi yako uliyokuwa nayo na ambayo hata sasa unayo ni kweli tokea uwe hapo Ikulu mwaka 2015 hadi leo hii ulikosa kabisa muda hata wa kumualika Marehemu 'Fredwaa' hapo Ofisini Kwako Ikulu au hata Nyumbani Kwako au sehemu yoyote na mkaonana mpaka leo hii uje na huu 'Unafiki' wako uliopitiliza na usiovumilika.

Haya basi hebu tuambie kuna Mtangazaji gani mwingine aliye Hai bado na unempenda sana ili ajue kupitia Uzi huu huu wangu na ajijue kisha akutafute na umpangie 'appointment' ya kuonana nawe ili uje umpe SIfa zake 'Mubashara' kabla hajafa halafu kama kawaida yako ukakimbia tena 'Kujifaragua' Mitandaoni kuwa ulikuwa unamkubali wakati hasikii na akiwa kalala Mochwari.

R.I.P Fred Fidelis alias Fredwaa.
 
Rest in heavenly peace Mr.fredwa
 
Critical thinking! Hili Taifa linaongozwa na Unafki mkubwa sana!
gersonmsigwa Mwamba ' Fredwaa ' nilikuwa na hamu sana ya kukutana nawe siku moja, lakini haikutokea na leo umelala milele.

Nilitaka kukwambia wewe ni Mwanamapinduzi wa utangazaji. Mimi mtangazaji mwenzako nilivutiwa sana na jinsi ulivyokuwa unaupigwa mwingi sana kwenye microphone [emoji441].

Sindano 5 za moto zilitupa burudani sana sisi Wananzengo.

Hivi Gerson Msigwa unataka Kutudanganya kuwa kwa Hadhi yako uliyokuwa nayo na ambayo hata sasa unayo ni kweli tokea uwe hapo Ikulu mwaka 2015 hadi leo hii ulikosa kabisa muda hata wa kumualika Marehemu 'Fredwaa' hapo Ofisini Kwako Ikulu au hata Nyumbani Kwako au sehemu yoyote na mkaonana mpaka leo hii uje na huu 'Unafiki' wako uliopitiliza na usiovumilika.

Haya basi hebu tuambie kuna Mtangazaji gani mwingine aliye Hai bado na unempenda sana ili ajue kupitia Uzi huu huu wangu na ajijue kisha akutafute na umpangie 'appointment' ya kuonana nawe ili uje umpe SIfa zake 'Mubashara' kabla hajafa halafu kama kawaida yako ukakimbia tena 'Kujifaragua' Mitandaoni kuwa ulikuwa unamkubali wakati hasikii na akiwa kalala Mochwari.

R.I.P Fred Fidelis alias Fredwaa.
 
Mkuu wahenga walishasema, huna hela hakuna ndugu,marafiki au jamaa wa kukualika wala kukutembelea, siku yako ikifika ghafla hao, wakimwaga crocodile tears na kukusifu au kukuponda watakavyo, labda ndiyo dunia au binadamu alivyo sasa..
 
RIP Fred Fidelis, through an acquaintance nilibahatika 2018 kupata naye šŸ» na 🌿 za kutosha pale karibu na WCB, kuna ka pub kakishikaji, umetangulia, tunafuata..
 
Enzi za mwendazake TBC kulikua na kipindi kinaitwa
"KISHINDO CHA AWAMU YA TANO"
Kumbe mdikilizaji wa kile kipindi alikua Ni mwendazake maana alipo kwenda zake sijakiona tena.
Kiliendeshwa na captain wa wanafiki.
 
Unafiki ni tabia ya kuigiza,mtu anaweza akaigiza uzalendo kumbe nyuma ya pazia ni fisadi wa kutisha,mtu anaweza kuigiza ana huzuni kwenye musiba kumbe ni kinyume chake.
 
gersonmsigwa Mwamba ' Fredwaa ' nilikuwa na hamu sana ya kukutana nawe siku moja, lakini haikutokea na leo umelala milele.

Nilitaka kukwambia wewe ni Mwanamapinduzi wa utangazaji. Mimi mtangazaji mwenzako nilivutiwa sana na jinsi ulivyokuwa unaupigwa mwingi sana kwenye microphone šŸŽ¤.

Sindano 5 za moto zilitupa burudani sana sisi Wananzengo.

Hivi Gerson Msigwa unataka Kutudanganya kuwa kwa Hadhi yako uliyokuwa nayo na ambayo hata sasa unayo ni kweli tokea uwe hapo Ikulu mwaka 2015 hadi leo hii ulikosa kabisa muda hata wa kumualika Marehemu 'Fredwaa' hapo Ofisini Kwako Ikulu au hata Nyumbani Kwako au sehemu yoyote na mkaonana mpaka leo hii uje na huu 'Unafiki' wako uliopitiliza na usiovumilika.

Haya basi hebu tuambie kuna Mtangazaji gani mwingine aliye Hai bado na unempenda sana ili ajue kupitia Uzi huu huu wangu na ajijue kisha akutafute na umpangie 'appointment' ya kuonana nawe ili uje umpe SIfa zake 'Mubashara' kabla hajafa halafu kama kawaida yako ukakimbia tena 'Kujifaragua' Mitandaoni kuwa ulikuwa unamkubali wakati hasikii na akiwa kalala Mochwari.

R.I.P Fred Fidelis alias Fredwaa.
Ni bora angekaa kimya tu.
 
Enzi za mwendazake TBC kulikua na kipindi kinaitwa
"KISHINDO CHA AWAMU YA TANO"
Kumbe mdikilizaji wa kile kipindi alikua Ni mwendazake maana alipo kwenda zake sijakiona tena.
Kiliendeshwa na captain wa wanafiki.
Tuko awamu ya sita sasa, hicho KISHINDO CHA AWAMU TANO chanini tena!?
 
Back
Top Bottom