Huwa naenjoy kusoma yaliyo andikwa nyuma ya daladala........

Huwa naenjoy kusoma yaliyo andikwa nyuma ya daladala........

Ncha ya mkuki haipigwi konzi...Unaringa umepima?
 
Nyuki hapigwi busu
Ncha ya mkuki haipigwi kofi
 
Nikifa mke wangu asiolewe

Mama mkanye mwanao daladala sio yangu

Babaako anayo

Tatizo muda

Usiye mtaka kaja

Kaseme tena
 
Back
Top Bottom