Huwa napata hisia kali kama vile nilishawahi kuishi huko zamani sana

Yani kiona picha za zaman, magofu/abandoned places, au documentaries, huwa kunahisia zinanijia kama vile nilikua part of the stories, ni ipi saikolojia nyuma ya hili?
ni kawaida, hata mimi huwa napata hisia kwamba matukio yaliyopo sasa nimeyaona before
 
Fanya haraka uoe unasumbuliwa na upweke hyo ndo tafsr yake
 
Kuna Maevolutionists fulani watakuja hapa wakusakame na kukusakizia kwamba eti lazima unapitia hatua za mwisho-mwisho za Re-incarnation kutoka kwa wale dinosaurs wa zama za Precambrian.
 
Kwahiyo unajionaga Kama uliishi na dinosaurs?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…