BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Wenye uwezo wa kuandika hilo ni mods wa jamiiforum baada ya kupata taarifa za uhakika kutokea kwa watu wa karibu wa mhusikaNani aliandika Hilo neno RIP ilihali yeye kashafariki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye uwezo wa kuandika hilo ni mods wa jamiiforum baada ya kupata taarifa za uhakika kutokea kwa watu wa karibu wa mhusikaNani aliandika Hilo neno RIP ilihali yeye kashafariki?
Tupo wengi na hatutaki ushauri na mie ni mmoja wao
Unajidanganya mzee unaweza kuwa nao halafu usimbukizeDaah asee kati ya vitu ambavyo nimekosa kuwa na ujasiri navyo bac ni kupima ngoma (UKIMWI).
Me bhna kila siku afya yangu huwa naipima kupitia mademu zangu. Kww bahati mbaya mara nyingi nmekuwa nikikutana na mademu wanaopenda kucheck afya zao mara kwa mara. Mwanzoni nilikuwa nawamind kwann wapime mara kwa mara bhna khan wanatafuta nin ila mwsho wa siku baada ya kushindwa kuwazuia nawaacha tu isipokuwa huwa hawanishirikishi tu wakienda kupima huwa wananiletea cheti cha ANGAZA bac
Kuna vichaka kma 5 hv nilipita miezi mitatu iliyopta daah nilikuwa nahofu balaaa! yan kuna muda nilikataga tamaa nikasema me haukosi hapa sahz
Daah sasa juzi demu wangu mpya si alienda kupima af majibu ni fresh. Basi na mimi nimepima kupitia yeye nilifurahi, ilikuwa ni mwendo wa kuku kwa mrijaaa
Najua mpo wengi tu ambao huwa mnapima afya zenu kuptia mademu zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli au wanamtania tuInasemekana kafariki
Nilkua sijaangalia tarehe ya chapisho bna kumbe ni la zamaniInasemekana kafariki