CHADEMA wamesema wanampenda Putin wapi?CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa.
Ona anavyoua wapinzani wenzake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua.
Anataka kufia madarakani kama Mbowe. Putin hatukuja kuachia kiti kile and yet CHADEMA wanamuona kama hero.
CHADEMA saa nyingine huwa ni ama akili kisoda au hawajui wanataka nini.
Ikishakuwa wanachama wengi inakuwa CHADEMA tu.CHADEMA wamesema wanampenda Putin wapi?
Huu ni msimamo rasmi wa chama au wanachama fulani tu?
Una ushahidi wa kuthibitisha madai yako?
Wanachama wengi wangapi? Ushahidi wako uko wapi?Ikishakuwa wanachama wengi inakuwa CHADEMA tu.
Waafrika wengi ni kama akili zao haziwatoshi, ni vigumu kuwaelewa, wako na contradictions nyingi sana. Wanamuhusudu Putin na Russia ila wanakimbilia kujazana West karibia kwa kila kitu!Sio chadema tu na waafrica wengi sababu kuu ya kumpenda putin ni kwasababu anapinga Lgbt, lakini kuhusu mambo mengine hawaangalii jana naona wanaanza uchaguzi lakini kuna mpinazani wake mmoja nae anamsifia Rais wale wapinzani hasa wapo uhamishoni au wameuwawa ni full dictator kwa ufupi.
asie jua anachotaka ndivyo alivyo 🐒CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa.
Ona anavyoua wapinzani wenzake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua.
Anataka kufia madarakani kama Mbowe. Putin hatukuja kuachia kiti kile and yet CHADEMA wanamuona kama hero.
CHADEMA saa nyingine huwa ni ama akili kisoda au hawajui wanataka nini.
Una kadi ya uanachama ya kila mwanachadema anamyempenda Putin?Ikishakuwa wanachama wengi inakuwa CHADEMA tu.
Ninayo ya Yericko NyerereUna kadi ya uanachama ya kila mwanachadema anamyempenda Putin?
Kwani jpm si alikuwa dictator. We hujuiSuala la Chadema likae kando, umetumia vigezo gani kumfananisha Putin na Magufuli Mkuu?
Mkuu labda unataka nikukamatie hao wanachedema pro-putin mitaani nikuletee.Mkuu,
Mimi sina ushahidi kama hawa ni buku saba au mashabiki wa kawaida tu, ila mpaka sasa wameshindwa kutoa ushahidi wowote wa kutetea madai yao.
Yoda
deblabant
Ibra tiger
Tlaatlaah
Acha upumbavu mkuu,bila kutoa mada yenye jina la CHADEMA unaona kama unawashwa na mada yako haitapata wasomaji,weka hapa tamko RASMI kutoka CHADEMA la kum support Putin,kinyume cha hivyo wewe ni pumbavuCHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa.
Ona anavyoua wapinzani wenzake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua.
Anataka kufia madarakani kama Mbowe. Putin hatukuja kuachia kiti kile and yet CHADEMA wanamuona kama hero.
CHADEMA saa nyingine huwa ni ama akili kisoda au hawajui wanataka nini.
Mimi nipo hapa kinondoni shamba,hilo kundi kubwa mbona silioni?naona tu poor of the poorest wanavyo pigana na maisha huku royal families wakiwa holiday Camps BayMkuu labda unataka nikukamatie hao wanachedema pro-putin mitaani nikuletee.
Ungekuwa mtaani bongo ungeelewa, ni kundi kubwa sana.
Kinondoni kuna mashamba?Mimi nipo hapa kinondoni shamba,hilo kundi kubwa mbona silioni?naona tu poor of the poorest wanavyo pigana na maisha huku royal families wakiwa holiday Camps Bay
Mkuu,Mkuu labda unataka nikukamatie hao wanachedema pro-putin mitaani nikuletee.
Ungekuwa mtaani bongo ungeelewa, ni kundi kubwa sana.
Na usipo waelewa CDM basi wewe ni kichaaKuwaelewa Chadema inatakiwa uwe chizi