Unaposema CHADEMA unamaanisha nini?Mkuu CHADEMA kwenye siasa za kimataifa wengi ni watupu sana na wenye contradictions nyingi.
Kuna wanachedema wengi wanawahusudu Kiduku wa Korea Kaskazini, Kagame, Putin, Gaddafi n.k
Kwani humjui Yeriko Nyerere kama ni mwanachadema ten activeUnaposema CHADEMA unamaanisha nini?
Unamaanisha msimamo wa chama au watu tu?
Kama ni chama, msimamo huo uko wapi?
Kama ni watu tu, unajuaje hawa ni CHADEMA kweli?
SureSidhani kama CHADEMA wanafuata siasa za Putin... CHADEMA wanajulikana kukumbatia siasa za magharibi ndo maana hata msimamo wao kwenye ishu za LGBTQ ni kama wa hao mabeberu kwa maana ya kukubalina na hizo ishu. Kada mwandamizi wa CHADEMA Yericko Nyerere ndo huwa anakichafua chama chake kwa kufurahia uongozi dhalimu wa Putin. Nilishawahi kushauri CHADEMA iwape semina wanachama wake jinsi ya kufanya siasa bila kukiumiza chama ila nikapingwa. Ni kawaida kwa wanachama wa CHADEMA kuropoka au kuandika chochote mtandaoni bila kujali madhara kwenye chama. Anachokifanya Yericko Nyerere ni ujinga na uharibifu mkubwa dhidi ya chama chake.
CHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa.
Ona anavyoua wapinzani wenzake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua.
Anataka kufia madarakani kama Mbowe. Putin hatukuja kuachia kiti kile and yet CHADEMA wanamuona kama hero.
CHADEMA saa nyingine huwa ni ama akili kisoda au hawajui wanataka nini.
CHADEMA wanapinga ushoga, Lissu, Heche, Martin na wengine wengi wamekuwa wakiweka wazi msimamo wao dhidi ya ushoga.Sidhani kama CHADEMA wanafuata siasa za Putin... CHADEMA wanajulikana kukumbatia siasa za magharibi ndo maana hata msimamo wao kwenye ishu za LGBTQ ni kama wa hao mabeberu kwa maana ya kukubalina na hizo ishu. Kada mwandamizi wa CHADEMA Yericko Nyerere ndo huwa anakichafua chama chake kwa kufurahia uongozi dhalimu wa Putin. Nilishawahi kushauri CHADEMA iwape semina wanachama wake jinsi ya kufanya siasa bila kukiumiza chama ila nikapingwa. Ni kawaida kwa wanachama wa CHADEMA kuropoka au kuandika chochote mtandaoni bila kujali madhara kwenye chama. Anachokifanya Yericko Nyerere ni ujinga na uharibifu mkubwa dhidi ya chama chake.
Sasa huyo mmoja ndio amekuwa wanachadema? Acha masiharaNinayo ya Yericko Nyerere
Yeriko Nyerere ndiyo CHADEMA?Kwani humjui Yeriko Nyerere kama ni mwanachadema ten active
Tamko Gani na lini limetolewa na kamati kuuCHADEMA wao wanasema wanataka demokrasia wakati wa siasa lakini Bado wanamuona Putin kama mfano. Hii ni contradiction kabisa.
Ona anavyoua wapinzani wenzake. Ameua Navanyi Akiwa gerezani ili tu agombee peke yake. Karibu wapinzani wake wote kaau wote hata prigogzin kamuua.
Anataka kufia madarakani kama Mbowe. Putin hatukuja kuachia kiti kile and yet CHADEMA wanamuona kama hero.
CHADEMA saa nyingine huwa ni ama akili kisoda au hawajui wanataka nini.
Hawajawahi pinga ushoga. Shoga maarufu James Delicious ni kada wa CHADEMA kindakindaki.CHADEMA wanapinga ushoga, Lissu, Heche, Martin na wengine wengi wamekuwa wakiweka wazi msimamo wao dhidi ya ushoga.
Kwanini CHADEMA huwa hamtaki kukosolewa na warahisi kuwakana wenzenu? Mwanachama wa CHADEMA huunda CHADEMA kwahiyo sio vema mwanachama mwandamizi kama Yeriko kusapoti upumbavu halafu nyie wengine mumkane kwamba ni mtazamo wake binafsi sio chama... ina maana chama chenu hakina maadili na miiko yake?Yeriko Nyerere ndiyo CHADEMA?
Kwani hakuna wana CCM wanao m support Putin?
Ukiwa na wana CCM wanao m support Putin, hilo lina maana CCM inam support Putin?
A.Hii ni logical fallacy ya non sequitur.
1.Yeriko Nyerwre supports Putin.
2.Yeriko Nyerere is a CHADEMA member.
3.Therefore, CHADEMA supports Putin.
Hapo hata kama 1 na 2 ni kweli, 3 umelazimisha kwa logical nonnsequitur.
"A non sequitur fallacy is a statement or conclusion that does not follow logically from what preceded it. Non sequiturs can be responses that have nothing to do with the conversation or flawed conclusions “based” on what preceded them."
B. Hii ni logocal fallacy ya strawman argument.
"A straw man fallacy (sometimes written as strawman) is the informal fallacy of refuting an argument different from the one actually under discussion, while not recognizing or acknowledging the distinction."
C. Hii ni logical fallacy, fallacy of composition.
"The fallacy of composition is an informal fallacy that arises when one infers that something is true of the whole from the fact that it is true of some part of the whole."
1. Kariakoo shimoni pananuka.
2. Kariakoo Shimoni pako Tanzania
3. Hivyo, Tanzania pananuka.
CCM wanapinga ufisadi??Hawajawahi pinga ushoga. Shoga maarufu James Delicious ni kada wa CHADEMA kindakindaki.
Ndiyo.CCM wanapinga ufisadi??
Kitu cha kwanza kabisa mimi si CHADEMA.Kwanini CHADEMA huwa hamtaki kukosolewa na warahisi kuwakana wenzenu? Mwanachama wa CHADEMA huunda CHADEMA kwahiyo sio vema mwanachama mwandamizi kama Yeriko kusapoti upumbavu halafu nyie wengine mumkane kwamba ni mtazamo wake binafsi sio chama... ina maana chama chenu hakina maadili na miiko yake?
Jomba mbona povu linakutoka? Kama ni mpenda ukweli washauri CHADEMA waache tabia za kuropoka. Kuna wanachama majina yao yakitamkwa kitu cha kwanza kukujia kichwani ni CHADEMA. Wameshakuwa icons za vyama vyao.Kitu cha kwanza kabisa mimi si CHADEMA.
Si mwanachama wa CHADEMA, si mshabiki wa CHADEMA.
Mpaka hapo ushachemka ku assume tu kuwa kila mtu anayehoji habari isiyo na mguu wala kichwa ya kuhusu CHADEMA, basi ni lazima atakuwa CHADEMA.
Huu ni ujinga wa "one track mind" thinking.
Yani unafikiri katika track moja kwamba, mtu akihoji dhana yoyote ya kuishambulia CHADEMA, basi ni lazima atakuwa CHADEMA.
That is a logical non sequiture fallacy.
Mtu kama mimi ninayependa ukweli, uthabiti wa hoja, kuhakiki mambo, naweza kabisa kuhoji dhana dhidi ya CHADEMA iliyoletwa bila uthibitisho, bila ya mimi kuwa mwanachama au hata mshabiki wa CHADEMA.
Hakuna povu hapo, ni kwamba wewe ni guluguja huna ubongo wala uti wa mgongo umevamia pabaya nikipiga chafya kwa reflex action tu lazima utaona povu.Jomba mbona povu linakutoka? Kama ni mpenda ukweli washauri CHADEMA waache tabia za kuropoka. Kuna wanachama majina yao yakitamkwa kitu cha kwanza kukujia kichwani ni CHADEMA. Wameshakuwa icons za vyama vyao.
Acha kunililia hapa mtandaoni. Sikukutuma ukitetee chama cha Mbowe. Uwe na mipaka.Hakuna povu hapo, ni kwamba wewe ni guluguja huna ubongo wala uti wa mgongo umevamia pabaya nikipiga chafya kwa reflex action tu lazima utaona povu.
Na ukitaka povu ninaweza kukuletea vilevile.
Nimekuwekea logical fallacies zilizofanywa katika hoja zenu, nimeziweka tatu.
1. Logical non sequitur.
2. Strawman argument
3.Fallacy of composition.
Lakini sifikiri una uwezo wa kuzisoma na kuzielewa.
Kwa kuwa wewe ni guluguja, huna ubongo wala uti wa mgongo.
Huwa nashangaa sana CHADEMA kumuona Putin shujaa halafu wanamkandia Magufuli!
Mkuu CHADEMA kwenye siasa za kimataifa wengi ni watupu sana na wenye contradictions nyingi. Kuna wanachedema wengi wanawahusudu Kiduku wa Korea Kaskazini, Kagame, Putin, Gaddafi n.k Unaposema CHADEMA unamaanisha nini? Unamaanisha msimamo wa chama au watu tu? Kama ni chama, msimamo huo uko...www.jamiiforums.com