Huwa nashangaa sana CHADEMA kumuona Putin shujaa halafu wanamkandia Magufuli!

We mjinga sn, uliona CHADEMA wametoa official document ya kumuunga mkono Putin au maandiko ya Yeriko ndiyo CHADEMA?
 
Unajua ulichoandika?
 
Mkuu CHADEMA kwenye siasa za kimataifa wengi ni watupu sana na wenye contradictions nyingi.
Kuna wanachedema wengi wanawahusudu Kiduku wa Korea Kaskazini, Kagame, Putin, Gaddafi n.k
Wewe na mtoa mada wote akili zenu ndogo.kama dunia ya sasa unashindwa kutofautisha mawazo binafsi ya mtu na tamko la chama nyie mtakua na shida yakufikiri.
 
Nguvu ya Urusi ikirudi chadema na vyama vingi vinafutwa. Kina Yeriko Nyenyere wanasahau wana uhuru wa kuongea na kukosoa sababu dola ya Urusi ilikufa, wangekuwa wapo Urusi muda huu ama wako jela au wamekufa.
 
Naona umeamua kutoa kabisa darasa.Wako wengi sana wenye akili kama za mtoa mada.
 

Tamko Hilo rasmi la CHADEMA liko wapi?

Tofautisha Chadema na makamanda uchwara.
 
Tangu lini msimamo wa mtu mmoja mmoja ukawa msimamo wa chama au kundi Fulani!? Hii namna ya kufikiri au school of thought inaitwaje?
 

Hata kama umaichukia CHADEMA, unatakiwa uwe na aibu kusema uwongo ulio wazi kiasi hiki.

Ni lini hao CHADEMA walisema wanamwunga mkono Putin, au uliwahi kusikia wakimsifia? **** kauli yoyote imewahi kutolewa na CHADEMA kama chama au na viongozi wake kumsifia dikteta Putin?

Putin ni muuaji, tena udikteta wake unazidi wa kiongozi yeyote wa Serikali ya CCM. Hata hayati Magufuli hakumfikia.

Miaka 10 iliyopita nilikutana na Warusi jijini Sao Paulo, wakitokea Moscow, waliyokuwa wakiyasema dhidi ya Putin yalikuwa yanatia kinyaa na kuleta simanzi kwa mtu yeyote anayeheshimu utu wa mwanadamu. Tofauti ya Putin na Kiduku wa North Korea ni ndogo sana, lakini wote ni madikteta, wote ni wauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…