sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 831
Naamini haujawahi kuvuta bangi
Kuna mvutaji anajali wenzie kiasi hiki? Eti sky walker unakula sigara pori?Huyo ni mvutaji kabisa
hahaa leo kanywa" banana" toka ushiromboNaamini haujawahi kuvuta bangi
ha hahaNenda hata hapo DRC tu kwa miezi mitatu. Si ajabu wewe ndiyo mwenye gundu la maendeleo yetu.
hapana situmi kabisa labda cirocNenda hata hapo DRC tu kwa miezi mitatu. Si ajabu wewe ndiyo mwenye gundu la maendeleo yetu.