Huwa tunamaanisha nini tunaposema maisha huanza kwenye miaka ya 40?

Huwa tunamaanisha nini tunaposema maisha huanza kwenye miaka ya 40?

Kama akili ya mtu ikitulia @ 40 huyo mtu anakuwa kashachelewa life. Hii ni kauli ya kujipa moyo tuu.
 
Lakin mim nimeshindwa kuelewa hii dhana,yaan 40 mbona ipo karibu sana na 50 sasa hapo kweli mtu ataweza fanya yote majukumu ya kiume kama kutunza familia,kujenga makazi,kujenga uchumi

Ingawaje nimeshaona wazee wanajenga wana miaka 50

Mkuu hiyo ni kauli ya kutiana moyo! Ukifika 40's utagundua kuna makosa mengi sana ya kiufundi mtu anakuwa amefanya nyuma huku. Maisha yanaanza as soon as possible.
 
kama zipo ni kuwaambia nyie wa below 40 muache ujinga wa kuandamana bila kufuata utaratibu,kuwaambia nchi haipinduliwi kama mnaenda kununua vitu dukani,nchi haipinduliwi bila msaada wa vyombo vya ulinzi na usalama

Tuliopo kwenye 40's na wenye akili za kutulia tunalijua hilo ndio maana tukawashauri muache ujinga
Kumbe upo 40'S mimi nilidhani upo 30'S !
 
Halafu mpo humu mnatukana baba zenu.
Kipindi nimefungua account 2017 at 17 age nilikuwa nachat kwa kuogopa sana maana ilikuwa ukiandika pumba kidogo utasikia "peleja utoto wako fesibuku " au "shule zinafunguliwa lini " nk nikawa na chat kwa utulivu sana kuepuka spana za Wazee chap nikaAdapt mazingira ya kiutuuzima.

Nilipozoea na kuona na Wazee nao wameanza kuandika ujinga mwingi uwoga ukanitoka kabisa nikawa naBattle nao frontally .
 
Back
Top Bottom