Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
-
- #21
Umenifurahisha bwashee na hizi principlesHapo kwenye Imani yako Mimi Sina neno bwashee π
Ila kwenye ukweli ni kuwa To every action there is equal & opposite reaction.
UNATAKA KUJUA AU KUBISHANAMitume wapi unaomaanisha?
Hivi ni mabadiliko yana athiri muda au muda ndio una athiri mabadiliko?UNATAKA KUJUA AU KUBISHANA
GOT NO TIME FOR THAT BRO!
basi unakua mwili tu na akili ipo below 40'sniko 50+
point yako hasa ni nini?
very complicatedHivi ni mabadiliko yana athiri muda au muda ndio una athiri mabadiliko?
Hapana, want to kow guys!UNATAKA KUJUA AU KUBISHANA
GOT NO TIME FOR THAT BRO!
Lakin mim nimeshindwa kuelewa hii dhana,yaan 40 mbona ipo karibu sana na 50 sasa hapo kweli mtu ataweza fanya yote majukumu ya kiume kama kutunza familia,kujenga makazi,kujenga uchumi
Ingawaje nimeshaona wazee wanajenga wana miaka 50
Uwongo huu , wewe umeenda sana 35niko 50+
point yako hasa ni nini?
Kumbe upo 40'S mimi nilidhani upo 30'S !kama zipo ni kuwaambia nyie wa below 40 muache ujinga wa kuandamana bila kufuata utaratibu,kuwaambia nchi haipinduliwi kama mnaenda kununua vitu dukani,nchi haipinduliwi bila msaada wa vyombo vya ulinzi na usalama
Tuliopo kwenye 40's na wenye akili za kutulia tunalijua hilo ndio maana tukawashauri muache ujinga
Amen..ππEe mwenyezi Mungu tunaomba utupe kesho iliyo bora kuliko jana sisi waja wako, bariki vipato vyetu ili familia zetu zifurahi uwepo wetu.
51 kiongozUwongo huu , wewe umeenda sana 35
Nipo 40's ndugu yangu,tumeyaanza maisha rasmiKumbe upo 40'S mimi nilidhani upo 30'S !
Kongole sana . Allaah akujaalie umri wenye manufaa na mwisho mwema Aamiyn.Nipo 40's ndugu yangu,tumeyaanza maisha rasmi
Halafu mpo humu mnatukana baba zenu.Kongole sana . Allaah akujaalie umri wenye manufaa na mwisho mwema Aamiyn.
Mimi ndio kwanza nimeingia 25 natembelea 20'S
Kipindi nimefungua account 2017 at 17 age nilikuwa nachat kwa kuogopa sana maana ilikuwa ukiandika pumba kidogo utasikia "peleja utoto wako fesibuku " au "shule zinafunguliwa lini " nk nikawa na chat kwa utulivu sana kuepuka spana za Wazee chap nikaAdapt mazingira ya kiutuuzima.Halafu mpo humu mnatukana baba zenu.