Huwa tunamaanisha nini tunaposema maisha huanza kwenye miaka ya 40?

Hayo sio majibu ya wazee
Ni majibu ya watu wenye umri kama wako sasa hivi.

Nakuhakikishia wazee tumebaki wachache sana tunaochangia,wengi hawako active.
Wazee tulijiunga wakati JF inaanza 2007 huko hadi 2015 kuanzia hapo kuja juu ni vijana kizazi kipya.
 
Hitimisho
Maisha hayaishii ukiwa na miaka 40; hapo ndipo yanapopata ladha kamili. Ni kipindi cha kuishi kwa makusudi, kuamua kwa hekima, na kupenda kwa kina. Miaka 40 si mstari wa mwisho, ni lango. Ukiuvuka kwa macho wazi, safari inakuwa bora zaidi.
Ungeongeza hio ililengwa kwa Wanaume sio Wanawake.. Wanawake life begins akiwa bodo binti na akishavunja UNGO ndio maisha yanaanzia hapo.. Mwanaume ukifika 40 ndio maisha yanaanza na maana yake ni kwamba kuanzia 18,19,20 mpaka 40 unakua ushajiweza kuanzia 40 na kuendelea ni kuseleleka tu mpaka 100
 
Okay
 
ukisema hivyo unakosea,kwani umri wa kubalehe kwa jinsia zote si almost ni sawa,kama hiyo ndio hoja yako basi wote ilitakiwa maisha yaanze hapo

umri wa Miaka 40 ndio ukomavu wa akili ya mwanadamu unakuwa upo juu,hii kwa jinsia zote,tena wanawake umri huu ndio wanainjoi sana sex kwa mujibu wa tafiti mbali mbali ndio maana sio ajabu hupenda kutoka na vibenteni

ukiamuangalia mwanamke hivyo basi unaweza sema mengi sana,hivi unajua inasemekana mtoto wa kike anazaliwa tayar mayai yapo tayar,je hapo utasemaje
 
Lakin mim nimeshindwa kuelewa hii dhana,yaan 40 mbona ipo karibu sana na 50 sasa hapo kweli mtu ataweza fanya yote majukumu ya kiume kama kutunza familia,kujenga makazi,kujenga uchumi

Ingawaje nimeshaona wazee wanajenga wana miaka 50
sio masharti kwamba ukiwa kwenye 40's ndio mambo yote hayo yafanikiwe,lakini kitu ambacho ni cha uwakika ,wakati huu mtu amekomaa kiakili,hafanyi maamuzi ya kukurupuka hana mihemko sana na anajitambua

lakini tukija kwenye uhalisia wa mambo hasa huku afrika,muda mwingi tunautumia kusoma,kazi labda utaanza kwenye 30's hapo labda utamekimeki kwenye 40's ndio mambo yanakuwa byeee
 
umri wa Miaka 40 ndio ukomavu wa akili ya mwanadamu unakuwa upo juu,hii kwa jinsia zote,tena wanawake umri huu ndio wanainjoi sana sex kwa mujibu wa tafiti mbali mbali ndio maana sio ajabu hupenda kutoka na vibenteni
40 maisha huanza kwa Wanaume.. hivi ule msemo wa behind every successful man there is a beautiful woman unataka kusema behind every successful woman there's a handsome man..? Usipotoshe maana life begins at 40 for men not women..
 
Maisha yanaanza tumboni siku chache kabla hujazaliwa
 
Mpaka hapo kama hujaelewa point ya mtoa maada basi kazi ni kubwa sana...
Mtoa maada anasema ukifika umri wa miaka 40 ni sehemu ya kujiandaa,
Sivyo hio ni formula ya taifa gani
 
Nilibanwa na shughuli za shamba, si unajua tunakimbizana na mvua 🤗

Ila natambua Wazee wenzangu akina ERoni watakuwa wameniwakilisha uzuri
Nimefurahi kukuona mzee mwenzangu, huwezi amini kuna siku nilipita jukwaa moja nikasoma posts zako, nikakumbuka hujaonekana mda sana.

Karibu sana mkuu, usipotee hivyo, wajukuu wanakuhitaji bado😅
 
Nimefurahi kukuona mzee mwenzangu, huwezi amini kuna siku nilipita jukwaa moja nikasoma posts zako, nikakumbuka hujaonekana mda sana.

Karibu sana mkuu, usipotee hivyo, wajukuu wanakuhitaji bado😅
Wajukuu zenu tunawahitaji sana nyie wazee wa totoz😂
 
Usihuzunike sio kazi ndogo kuwapata hao totoz ukizeeka😂😂
Kwani nyie totoz si mnataka pesa tu, kunakazi gani hapo. Halafu naishia kuibariki na kuondoka bila kuitakasa😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…