Nakupendeaga hapo tu๐๐ฝ Wazee hawana hizo mambo za utakaso babu endelea kutubless tu๐Kwani nyie totoz si mnataka pesa tu, kunakazi gani hapo. Halafu naishia kuibariki na kuondoka bila kuitakasa๐ ๐
Shukrani Mkuu, hapo katikati nilijifanya shababi nikaongeza mke wa 5Nimefurahi kukuona mzee mwenzangu, huwezi amini kuna siku nilipita jukwaa moja nikasoma posts zako, nikakumbuka hujaonekana mda sana.
Karibu sana mkuu, usipotee hivyo, wajukuu wanakuhitaji bado๐
Atoto hebu ona hili lizee huku limeshaanika lilipokuwa, tunamuonea huruma labda kakoswakoswa bomu kumbe kaenda oa mtoto mdogo ๐Shukrani Mkuu, hapo katikati nilijifanya shababi nikaongeza mke wa 5
Binti kila muda analoweka nguo zangu, kuja kutahamaki miezi 2 nipo naye ndani tu ๐