Huwa tunapeleka wapi Eggs shells baada ya kutoa kiini na ute?

Huwa tunapeleka wapi Eggs shells baada ya kutoa kiini na ute?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wakuu sjajua kwa huku kwetu ila Kwa wenzetu eggs shell ni dill sana na huwa hazitupwi kamwe, ni biashara kama ziivyo biashara nyingine.

Nimeona kwene nchi kama Kenya wao eggs shell hukusanywa na kusagwa n kupata unga sfi kabisa unao uzwa hata madukani na hata maduka makubwa kabisa kama Super Market,

Eggs shell husagwa na kupata unga wa calcium na kama mnavyo jua miili yetu inahitaji calcium ya kutosha kila siku

Hivyo haya makasha huchukuliwa pindi tu yanapo tolewa kiini na ute na kuoshwa kabla ya kusagwa na kupata huo unga
 
Mkuu huu unga husagwa na kuwa laini kabisa and then unaweza kuuchanganya na asali ili kuongeza radha na ukawa unakula au unaweza nyunyizia kwenye chakula

Unga wa Yai una high levo ya calcium ambayo ni muhimu sana katika kuzuia ugonjwa wa Osteoporosis
 
Duh
This is new to me.
I didn't know for sure.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Is it medically proven?
How do you grind eggshell?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
TFDA watueleze mapema kabla hatujaamua kukopa na kuinvest kwenye hii biashara mpya
 
nnavyojua mimi hutumika kama malighafi ya kutengeneza vyakula vya kuku,matumizi ya binadamu sijawai sikia

Kubisha ndo tunako jua, kila kitu Bongo ni kubisha, nenda kwa nchi za watu uone kazi yake, an sio kukaa na kubiasha tu,
 
Wakuu sjajua kwa huku kwetu ila Kwa wenzetu eggs shell ni dill sana na huwa hazitupwi kamwe, ni biashara kama ziivyo biashara nyingine.

Nimeona kwene nchi kama Kenya wao eggs shell hukusanywa na kusagwa n kupata unga sfi kabisa unao uzwa hata madukani na hata maduka makubwa kabisa kama Super Market,

Eggs shell husagwa na kupata unga wa calcium na kama mnavyo jua miili yetu inahitaji calcium ya kutosha kila siku

Hivyo haya makasha huchukuliwa pindi tu yanapo tolewa kiini na ute na kuoshwa kabla ya kusagwa na kupata huo unga

nikweli usemalo kaka
 
Kubisha ndo tunako jua, kila kitu Bongo ni kubisha, nenda kwa nchi za watu uone kazi yake, an sio kukaa na kubiasha tu,

mbona hujabishiwa, unalazimisha au unaenda tu kywrka point kwamba umewahi kufika hizo unazoita nchi za watu?
 
Kuna watu wanasema Eggs shell zinatumika kutengeneza chakula cha kuku na wnyama wengine, hiyo ni sahii kabisa huwa inatumika ila tukumbuke kwamba Hata Dagaa wanaiwa na Binadamu,Mbwa, Paka, Kuku, Mahindi ndo kabisa, Soya nayo hivyo hivyo, kikawaida tunashare baadhi ya vyakula na wanyama na hiyo haina ubishi so tuskae kubisha tu,


A section of farmers in Busia are making calcium rich powder from crushed eggs shells they are selling to locals as an additive to foods, a venture that is returning over Sh70,000 daily and appear headed even higher if the local demand is anything to go by. The farmer group, Shadati Farmer organization chanced on the shells after a researcher from Uganda introduced them to the now booming business in Uganda through the now deeply entrenched inter boundary trade in Malaba border.
The rise in poultry farming in the area has been a boon to the farmers ' group who get the shells from households, shops and hotels. Egg shells are known to contain high levels of calcium, necessary to strengthen bones and reduce the chances of Osteoporosis, a disease of the bones that leads to an increased risk of fracture.
The calcium in the shells is particularly beneficial because they contain other nutrients such as magnesium and vitamin D that help the body use calcium. The farmers crush the shells into powder before mixing it with into honey to add taste. The powder is either administered orally or sprinkled in food to add that nutritional aspect. And already the farmers have secured a modest building which they have transformed into a value addition plant and are now producing upto 100 kilos of the shell powder daily which are packed into 400 gram tins. One such tin goes for Sh1500.
In a day the group sells over 40 such tins. "Demand has been rising so much especially after the demonstrations that we carry in the markets. We are actually struggling to get the egg shells and are now buying them from households as an incentive,"said Alphonse Wekesa the group's chairman. One egg shell with the two broken ends goes for Sh10. The group's biggest customers are the nutritional centers, schools, hotels and schools for the aged. "They either sprinkle it in their foods, or it is administered orally,"said Wekesa.
Nutritionists in the area have given the powder a clean bill of health with science showing that egg shells have unparalleled calcium content. "Its what we use to feed most malnourished children here since some of the drugs and supplements are unbearably high and we are on a shoe string budget,"said Agnes Bitutu a nurse at Fedha nutritional home in Busia.

The farmer's group having now experienced the endless market opportunities for the shells are now exploring other value addition ventures like testing them with different flavours. "This is especially to entice kids who needs calcium for strong bones,"said Kantaria Wima a scientists working with the farmers.

Source : farm biz Africa
 
mbona hujabishiwa, unalazimisha au unaenda tu kywrka point kwamba umewahi kufika hizo unazoita nchi za watu?

wewe endela kupinga make naon ubishi wa jukwaa la siasa ndo unahamishia huku
 
Mayai yenyewe ndo haya haya yasio na baba?

Mkuu yanatumika mayai ya aina yote, kwani kazi ya Jogoo ni nini hasa? mimi nijuavyo hata kuku wa kienyeji hutaga bila baba na mayi ya kisasa bila kurutubishwa na jogoo huwezi pata kifaranga
 
JINSI/NJIA ZA KUWEZA KUANDAA EGGS SHELL POWDER

1. Osha shell zote katika maji ya moto kuhakikisha kwamba umeondoa ule utando au ute mweupe wa yai, ia usikwngue kwa kisu

2. yaanike yakauke baada ya kutoka kuyaoha

3. Vunja vunja katika vipande vidogo vidogo na yasae kwa kutumia blenda au mashine ya kahawa au chochote kile kinacho weza kusaga na kuwa unga kabisa.

4. uweke kwenye kopo au kontena na hifadhi sehemu kavu

KUTUMIA

1. Unaweza kuila yenyewe bila kumix na chochote kile, mara nyingi ukimix na vitu kama juice viweza oteza zile nutrients kwa sababu itama chini ya kikombe

2. Unaweza changanya na asali

3. unaweza nyunyizia kwenye msosi wako

4. unaweza changanya na juice na ukanywa ila hakikisha unakuwa unakoroga vizuri ili isishuke chini kama yalivyo majani ya chai kwenye kikombe

Na Kumbuka haya: Kawaida Yai eggs shell moja ina kuwa na 750 – 800 mgs ya elemental za calcium na eggs shell tatu huwa na 2,250 – 2,400 mg.

3.
 
wewe endela kupinga make naon ubishi wa jukwaa la siasa ndo unahamishia huku

hakuna alobisha chasa, jamaa kasema ye anajua hizo egg shells hutumika kutengeneza chakula cha kuku, kwahiyo kama ziko na matumizi mengine ndo kajua sasa (baada ya wewe kusema), MBONA UNAPENDA LIGI WE JAMAA?
 
Back
Top Bottom