mutu ya watu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2010
- 213
- 41
kuku wa kienyeji au kisasa kama kisasa hawachelewi kusema ni sumu
Mkuu huu unga husagwa na kuwa laini kabisa and then unaweza kuuchanganya na asali ili kuongeza radha na ukawa unakula au unaweza nyunyizia kwenye chakula
Unga wa Yai una high levo ya calcium ambayo ni muhimu sana katika kuzuia ugonjwa wa Osteoporosis