The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
View: https://youtu.be/YdxCYOdO3Sg?si=4huBSJheX28CD2YC
Huyu jamaa niligundua kuwa ni mtu wa mfumo wa serikali wakati wa uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA taifa..
Sikutarajia kama angeweza ku - side na CCM chini ya ufuasi wa FAM na kupiga vita ukombozi na haki kupitia Tundu Lissu..
Hapa haina shaka kuwa, ametangulizwa Ili kutengeneza njia ya DPP kusema "sina nia ya kuendelea na kesi.."
===============================
Hapa chini👇👇👇Wanaharakati wa Kenya wanafanya utaratibu wa kuishitaki serikali ya Tanzania kwa vitendo walivyowafanyia Wakenya huku wakiwa na passport 🛂 🛂 ya East African Community..
Wanauliza: Kwani huu ushirikiano wa East Africa ni kwa ajili ya viongozi wanasiasa tu? Vipi sisi wananchi? Kwanini tuzuiliwe kuingia ktk za Jumuiya wanachama bila hata kuambiwa sababu..?
View: https://youtu.be/TElypSgOBL0?si=WjK1e5hL67ANALWJ
Yajayo yanafurahisha na kuudhi wengine hususani wana CCM kwa HAKIKA..