Mimi sikufichi nina kismati na wanawake wanaovaa Hijabu,.... Mimi ni mkristu lakini tangia niko O-level kuna demu alinizimia alikuwa anavaa hijabu mi nikampotezea sikukaa muda mrefu nikazama kwenye mahusiano na Demu mwingine nae full Hijabu Dah. . . . .
Sasa achana na hao one day nilikuwa natokea zangu Home naingia town (nilitumia daladala siku hiyo) yaani ile kushuka tu mitaa ya mnazi-mmoja kukatiza katiza mitaa ya town mara mtoto huyu hapa Mweupeeeeee wa kiarabu alafu kavaa hijabu....... nikashangaa baada ya kuzungumza nae kwa mda mfupi tu akanizimikia vibaya mpaka nikaogopa!
Wana JF thats z true kismati kipo lol!