Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Hahaahaa ana rock kinoma noma afu kiwatengu anajua kuhonga yule hatar. .wee nawe punguza ubahil watoto wazur wanahitaj matunzo...ona sasa ushamkosa miss neddy poyeee
naona kiwatengu anakumbukwa kwa lazima!
hahahaaaaaa!!!!
malikia wangu bado namnywa kimya kimya!
halafu siku hizi JF ina ma-queens wengi..
Hahaaaa chondee chondeee mi wangu kibo10 only wengine mbwembwee!! Unamminya wapi akat umesema ameshakukimbia!! Ndio ma beibe beibe ni wengi jaribu bahat yako ila upunguze uchoyo!!
na yule mwingine aliyekuwa anakupigania yuko wapi bibie?
Yani we mtamu wewe! Ile ligi kidogo itoe mtu roho! hahahaaa!
Ngoja niitafute nikumbushie!:lol:
Excel ebu acha chokochoko mi naona unaviamsha vilivyolala hahahaaa stakiii kesiii!!mtafute miss neddy wako umbembeleze so kunichunguza chunguza tu hapa
mbona kidume chako kiko kwenye selo za robot invisible?
Humo ndani unalalaje we kimwana?:lol:
sijui nizamieeeee!!!!
hahahaaa! pole sana you know! Kibo10 ni old friend wangu kitambo sana toka enzi anakuita kuita njiani mi namcheki tu!Tobaaa nilikua cjaona jaman imekuaje mpaka wakamuhukumu hivo itakua kuna MTU alimchokozaa I swear nkimjua mie ntadil naye mpaka nipate kifungo cha mwaka!! Mi saivi siruhusu MTU aje labda uje kama popobawa night
hahahaaa! pole sana you know! Kibo10 ni old friend wangu kitambo sana toka enzi anakuita kuita njiani mi namcheki tu!
Haya sasa, naona milango yote umeifunga na mikufuli miziiiiito kisa kibo hayupo...
Hutaki mashemeji tuje kusalimiaaaaa???:tape2:
ningojee nusu saa.. seriously nakutumia kitu, cheki inbox..Akhaaa siku hizii mashemeji hawaaminiki..hawashindwi kutaka kula na kaka yao sahani moja!!haswaa wewe nakuhofia ndo maana mapema nimefunga mlango stakii shobo
ningojee nusu saa.. seriously nakutumia kitu, cheki inbox..
Kule umetuma kitu gani??haha ufunguo wa kule umepotea mpaka nichongeshe mpya
Sijawahi kukosa mwanamke andunje!
nakuja pm tusalimiane zaidi!
Ila upunguze ununda aisee! duh!
mwanamke wa kuniangalia usoni dakika nzima huwa sina amani nae!:biggrin1: