Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Hahaahaa ana rock kinoma noma afu kiwatengu anajua kuhonga yule hatar. .wee nawe punguza ubahil watoto wazur wanahitaj matunzo...ona sasa ushamkosa miss neddy poyeee
naona kiwatengu anakumbukwa kwa lazima!
hahahaaaaaa!!!!
malikia wangu bado namnywa kimya kimya!
halafu siku hizi JF ina ma-queens wengi..
Last edited by a moderator: