Huwa una kismati na wanawake wa aina gani?

Na kisimati na wadada wanaopenda kujiona wanajua kila kitu
 
Wafupi[emoji38] [emoji38] Sijui nina ulimbo? Maana wanawake wafupi sijui kwanini, nikijaribu tu nang'oa jumla[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mi wenye mapepe, kwanza huwa wananichamba ila mwisho wa siku nakandamiza kama masanja
 
mimi nina ki smati cha mazombi bwanae acha nilikuwa nakula totozi kali mno ila kunasiku nikajichanganya nikala zombi dhuu ndo mpaka leo hivyoo
 
Nina bahati na wanawake warefu.
Na wa........ Pia!! Tihtihtih [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]


Cc Smart911
 
Uzi wa zamani huu love... Kabla hata ya fulani, fulani na fulani...

[emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Uzi wa zamani huu love... Kabla hata ya fulani, fulani na fulani...

[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Kabla ya watu watatu?? Fulani fulani na fulani?? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] ( joking)
 
Kabla ya watu watatu?? Fulani fulani na fulani?? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] ( joking)
Usifuatishe ule msemo usemae "Lisemwalo lipo"

Huu ni msemo tu...
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…