Huwa una kismati na wanawake wa aina gani?

Huwa una kismati na wanawake wa aina gani?

M ninakismati na madem wanaoanziwa na S na Q yan kama jina lako linaanzia hivo sikukosi.
 
Cha micharuko but wakifika ghetto mcharuko unakata alafu nafanya yangu...? Na kuanzia hapo wengne ndo wabafanyiwa mbwembwe but me ana fyaaata mazima.
 
Du wanaume maskini ndio wangu, wenye hela hata siku moja, mhhhh! lakini hao ndio type yangu,
 
Mie nna kismat na mawaziri, Yani Mpaka najiuliza ivi ni kazi yangu nnayo fanya au hashuo Lao tuu, tena ukiwambia nimeolewa au Wakuone Na mimba Ndio zawadi usiseme...

Basi Waziri Sonyo...atakufaaa
 
mademu wa kichaga huwa nina kismat nao sana,nilianza kupajua moshi kabla hata sijaenda
 
Kwa sababu nimeulizwa, sijisifii na wala sio muhuni ila huwa nikionesha nia napata mwanamke yoyote yule ninaemtaka.
 
Back
Top Bottom