Mi naanzia kwenye dushelele
Machoni,napenda test ya sabuni kwa macho!
aiseeeeeee babaangu mi naanza kwenye unyayo kupanda juu
unanchimba ujue,hapa najishauri nisemeje ninapoanzia kupaka sabuni nikienda kuoga af we unanikata stimu
sasa shemeji kweli ukianzia hapo unyayoni si sabuni itachafuka bababngu!labda umuulize mdogo wako Nicas Mtei anaweza kukupa mwongozo mkiwa pale kifunuka mlikuwa mnaanzia wapi kupaka sabuni!
hivi naruhusiwa kukitaja kipapa.......? kabla sijaharibu mjadala.....
Kwani snowhite ni M'baba?
Ndo naenda kukoga. Nkishamaliza ndo ntajua kuwa huwa naanzia wapi.