Ndo naenda kukoga. Nkishamaliza ndo ntajua kuwa huwa naanzia wapi.
Naanziaga sehemu zenye nywele, sasa mtafikiria wenyewe kama ni kichwani, kwapani, kifuani au uko chini, mana hata miguu yangu ina nywele, ukifanya hvyo unatengeneza povu.
ushakitaja. Elaborate it
Nicas unenichekesha kweli, me hata unipe laki siingii hicho choo, ngazi zikikatika
hivi naruhusiwa kukitaja kipapa.......? kabla sijaharibu mjadala.....
jamani Chimbuvu napenda unavyoniogesha,yaani hakuna mwanaume kama wewe!
Ni kitu gani hiki?
ni kisamaki kidogo.....ambacho mama yake anaitwa Jipapa.......
ni kisamaki kidogo.....ambacho mama yake anaitwa Jipapa.......