kipo mkuu....kichwa cha ''KINASWA''Kichwa cha kichwani. Kuna kuna kichwa kingine?
mambo vp... yan mekuja mpaka mjini afu ukajificha poa bana!!!!
aaahh siyo hivyo mambo yaliingiliana mbele ya warembo nijifiche tena si uchuro huo!!! uko wapi nije japo nikusabahi....
nsharudi zangu bara... ntaja tena mwakani.... ntakusaka!!!
aahhhh mwakani mbali mvi zitakuwa zishaniota... ntakuja huko huko bara...
karibu thana!!!!
Kuna shida ilikuwa imejiri hapa ofisini lakini nilipo soma huu uzi stress zote kule, nimechekaje?
Ndo naenda kukoga. Nkishamaliza ndo ntajua kuwa huwa naanzia wapi.
Matakoni
[emoji15] [emoji15] [emoji15]naanza kupaka kwenye mavuzi