huwa unaanzia wapi kupaka sabuni ukiingia kuoga!?

huwa unaanzia wapi kupaka sabuni ukiingia kuoga!?

Ndo naenda kukoga. Nkishamaliza ndo ntajua kuwa huwa naanzia wapi.

Choo_Chetu.jpg

vyoo vya design hii huwa na 'koki' msimu wa mvua koki inafunguliwa, majitaka yanatiririka pamoja na maji ya mvua yanajichanganya kitaa mwisho wa siku 'tank' linabaki safii tunaendelea na maisha! uswahili kuna vituko!!! halafu inataka ujasiri wa ajabu kukata gogo bila choo kuwa na mlango eti kanga yako ndio mlango! duh kweli dunia msongamano
 
Back
Top Bottom