Huwa unafanya kitu/jambo gani kabla haujalala??

Navuta ganja ya kutosha huku nikitafakari matukio yote ya siku nzima na mipango ya kesho

Baada ya hapo nalia kwa uchungu sana baada ya hapo nazima data zinakuja ndoto za kutisha sanaa..

Mwisho jogoo ananiamsha saa kumi!
 
Nimecheka kifala sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ