Huwa unafanya nini inapofika siku yako ya kuzaliwa

Huwa unafanya nini inapofika siku yako ya kuzaliwa

Huwa nasikitika tu kumaliza mwaka bado niko vile vile mama angu alitulea 8 ila sisi tunashindwa kumlea vizuri kazi kupigana majungu tu.
Ukikosa pesa hapa duniani amani utaiskia kwenye taarifa ya habari tu.
 
Najipigia dua tu na kuwaombea washua then nafanya tafakuri fupi naenda kibaruani kupambana
Muda wa kusherekea kisasa kwakweli una wenyewe kwa hili siwezi kubishana
 
Inaweza ikawa siku ndo inavuka hiyo naiona basi ishaenda, in short hamnaga cha maana nnachofanya
 
Kwani huwa watu wanazaliwa mara ngapi?
 
Back
Top Bottom