Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Kila mwaka naikumbuka siku yangu ya kuzaliwa zikiwa zimeshapita siku kadhaa
Nadhani wapo wengi Sana wananijali kuliko hata wale wenye watu wanaowawish siku ya birthday tu,Huna watu ambao wanakujali kwenye maisha yako!!?