Huwa unafanya nini ukikosa usingizi?

Huwa unafanya nini ukikosa usingizi?

Swali ntalijibu in future

It depends ..kama ntakua nimeoa mke....basi ntaipitisha na kuanza kuzagamua


But kama ntakua single ntacheza game, Peruzzing jf na kupiga pus ups
 
Nacheki movie,nakunywa pombe,nabrezee huku naperuzi social media,vikishindikana hivyo naingia night club.
 
Back
Top Bottom