asante sanaPole
Nimekaa pia,nawatamani wanangu nawasikia wakikoroma tu...ngoja nikawanyoshe shingo🤦Nimekaa kitandani nimechoka
Wewe ni k or mKama usiku ukikosa usingizi unafanya nini?
Mimi naimba pambio
Pole sana mkuuNasoma kitabu nikikosa usingizi but hapa nacheki nyuzi tu niko hospital nimelazwa
pole mkuuNasoma kitabu nikikosa usingizi but hapa nacheki nyuzi tu niko hospital nimelazwa
SanaIla usiku ukiwa na ishu ya kufikiria wazo dogo linakuwaga kubwa ila ukiamka asubuhi unaona la kawaida
🤣🤣Nasali japo sio mara zote then nitajitahidi kurudi kulala.
Ila siku nyingine sasa ambazo sisalii😂😂😂😂aiiii
asante sana mkuu maombi yenu muhimu nimepata nafuuPole sana mkuu
Nawasha PC na kuendelea pale nimeishia katikamkazi zangu.Kama usiku ukikosa usingizi unafanya nini?
Kweli dunia Ina zunguka kwa speed, yani katibu uli msema mwanachama wako .tafta pisi acha ufala