Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Yaani nimesoma mara 2 ,naona mvurugano tu hahah!Hiyo bored inasimama badala ya hangover?
Tafuta Alikasusu.... Bada ya hapo maji ya kutosha....Leo niko bored na siku nzima
Nimeanza kujisikia hivi tangu asubuhi
Kwan jana tulipga mitungi had saa12 !! Weekend nimeitusua sana jana
Sema nimekunywa kila aina ya pombe jana
Nifanyaje sasa maana nimepga supu wap yaan najisikia hovyo na bored?
Tujuze
Unaingia jamiiforums then unaperuzi jukwaa moja hadi lingine...ukishafika lile jukwaa la mwisho utajiona upweke wote kwisha.Leo niko bored na siku nzima
Nimeanza kujisikia hivi tangu asubuhi
Kwan jana tulipga mitungi had saa12 !! Weekend nimeitusua sana jana
Sema nimekunywa kila aina ya pombe jana
Nifanyaje sasa maana nimepga supu wap yaan najisikia hovyo na bored?
Tujuze
Unaingia jamiiforums then unaperuzi jukwaa moja hadi lingine...ukishafika lile jukwaa la mwisho utajiona upweke wote kwisha.
Dawa ya moto ni moto ongeza tena pombe za kila aina ili akili ikae sawaLeo niko bored na siku nzima
Nimeanza kujisikia hivi tangu asubuhi
Kwan jana tulipga mitungi had saa12 !! Weekend nimeitusua sana jana
Sema nimekunywa kila aina ya pombe jana
Nifanyaje sasa maana nimepga supu wap yaan najisikia hovyo na bored?
Tujuze
Dawa ya moto ni moto ongeza tena pombe za kila aina ili akili ikae sawa
Vumilia tu mkuu hiyo hangover ni ya siku moja, itaisha tu.
Anyway siku nyingine jitahidi unywe pombe ambazo zina hangover isiyoumiza.
Uwe unanishtuaNikiwa na stress naskiliza music pia natoka naenda kwenye movie theater ama sehemu nzuri nakaa tu