Huwa unafanya nini unapojisikia bored au una stress?

Huwa unafanya nini unapojisikia bored au una stress?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Leo niko bored na siku nzima

Nimeanza kujisikia hivi tangu asubuhi.

Kwan jana tulipga mitungi had saa12! Weekend nimeitusua sana jana
Sema nimekunywa kila aina ya pombe jana

Nifanyaje sasa maana nimepiga supu wapi yaani najisikia hovyo na bored?

Tujuze
 
Kwa wadada wamama unaanza kujifunza kufuma vitambaa mikoba kwa kuangalia video you tube seacrh crochet eg handbag,mask crochet

Kwa wababa unaweza cheza games kama draft la simu etc
 
Leo niko bored na siku nzima


Nimeanza kujisikia hivi tangu asubuhi
Kwan jana tulipga mitungi had saa12 !! Weekend nimeitusua sana jana
Sema nimekunywa kila aina ya pombe jana


Nifanyaje sasa maana nimepga supu wap yaan najisikia hovyo na bored?
Tujuze
Tafuta Alikasusu.... Bada ya hapo maji ya kutosha....
 
Leo niko bored na siku nzima


Nimeanza kujisikia hivi tangu asubuhi
Kwan jana tulipga mitungi had saa12 !! Weekend nimeitusua sana jana
Sema nimekunywa kila aina ya pombe jana


Nifanyaje sasa maana nimepga supu wap yaan najisikia hovyo na bored?
Tujuze
Unaingia jamiiforums then unaperuzi jukwaa moja hadi lingine...ukishafika lile jukwaa la mwisho utajiona upweke wote kwisha.
 
Nikiwa na stress nasikiza muziki/naangalia diy huko youtube hapa najifunzaga mengi mno/naingia jf

Kama sijisikii kukaa home naenda zangu beach kushangaa maji
 
Leo niko bored na siku nzima

Nimeanza kujisikia hivi tangu asubuhi
Kwan jana tulipga mitungi had saa12 !! Weekend nimeitusua sana jana
Sema nimekunywa kila aina ya pombe jana

Nifanyaje sasa maana nimepga supu wap yaan najisikia hovyo na bored?
Tujuze
Dawa ya moto ni moto ongeza tena pombe za kila aina ili akili ikae sawa
 
Vumilia tu mkuu hiyo hangover ni ya siku moja, itaisha tu.

Anyway siku nyingine jitahidi unywe pombe ambazo zina hangover isiyoumiza.
 
Kama ni hangover unaoga fresh asubuhi. Mara nyingi utakosa hamu ya kula. Cha kufanya nunua matunda ya kutosha ya aina tofauti ndio shindia mchana. Maji ya baridi yawe karibu ukipata na coca na pepsi inakuwa vyema unadilute na maji baridi.
Mpaka jioni utakuwa vyema kapate kitimoto au nyama choma na ugali kidogo usiku.
Kama ni stress tu angalia unapenda nini. Me mara nyingi nikiwa na stress chochote huwa sikitamani home si simu wala chochote. Nikitoka home na kutembea kidogo hasa kwa miguu ndio huwa angalau najisikia vyema.
 
Miye naenda sehemu iliyotulia km beach asbh mpk jioni.Nikitoka huko nipitie disko nicheze nirudi hoi.Enzi ya ujana sasa hv looh
 
Back
Top Bottom