Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 4,893
- 6,599
Inaweza ikawa hormones StimulusUsichukulie utani mkuu. Halafu ni kama inawapata zaidi wanawake sijui sababu ya hormones maana sisi ndi huwa tunaongoza kwa mood swings zisizo na sababu
Mimi alinipa shida sana kila muda anataka niweke bado aongee na wanae.