Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Mfano umeanza kumtumia ujumbe wa kumsalimia mpenzi wako lakini ukaona kimya kisha baada ya dakika 20 ukaamua kumpigia lakini pia hapokei, unaamua kutulia kisha yeye anakuja kukujibu tu ujumbe wako baada ya lisaa na hakupigii ingawa alikuta missed call yako.
Je huwa unachukuliaje hali hii pindi unapoona umefanyiwa hivi na mpenzi wako kwamba kakuta missed call yako na ujumbe lakini anajibu tu ujumbe kana kwamba hakuona missed call yako.
Karibu tupeane uzoefu