Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
Wewe huwa unachukuliaje kwani? 😂Mfano umeanza kumtumia ujumbe wa kumsalimia mpenzi wako lakini ukaona kimya kisha baada ya dakika 20 ukaamua kumpigia lakini pia hapokei...
utakufa mapema na presha kufuatilia vitu vidogoMfano umeanza kumtumia ujumbe wa kumsalimia mpenzi wako lakini ukaona kimya kisha baada ya dakika 20 ukaamua kumpigia lakini pia hapokei, unaamua kutulia kisha yeye anakuja kukujibu tu ujumbe wako baada ya lisaa na hakupigii ingawa alikuta missed call yako.
Je huwa unachukuliaje hali hii pindi unapoona umefanyiwa hivi na mpenzi wako kwamba kakuta missed call yako na ujumbe lakini anajibu tu ujumbe kana kwamba hakuona missed call yako.
Karibu tupeane uzoefu
Kwa kijana wa 2000, atatamani kunywa sum, the rest tunakata sim na kuagiza moja baridiMfano umeanza kumtumia ujumbe wa kumsalimia mpenzi wako lakini ukaona kimya kisha baada ya dakika 20 ukaamua kumpigia lakini pia hapokei, unaamua kutulia kisha yeye anakuja kukujibu tu ujumbe wako baada ya lisaa na hakupigii ingawa alikuta missed call yako.
Je huwa unachukuliaje hali hii pindi unapoona umefanyiwa hivi na mpenzi wako kwamba kakuta missed call yako na ujumbe lakini anajibu tu ujumbe kana kwamba hakuona missed call yako.
Karibu tupeane uzoefu
Kujuliana hali, kunyegeshana kuombwa pesa.nje ya mada
Wale ambao mpo kwenye mahusiano huwa mnawasiliana nini na wapenzi wenu kila siku /kila mda
yani huwa mnajadili nini hasa