Huwa unajibu vipi maswala haya kwenye interview?

stivii

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
222
Reaction score
143
Haya ni maswali yanayonisumbua ninapokuwa kwenye interview.

Sijawai kuyajibu nikapatia uwa najikanyaga siku zote. Ofcoz nazungumzia zaidi interview za kwenye NGO.

1. What is your experience in writing reports to donors?
2. What do you understand about ..... policy (yani anakutaka useme kitu kuhusu policy fulani ya kitaifa mfano education policy)
3. With examples describe your experience in doing training
 
Ngoja waje wataalamu mkuu, sie wengine tuligoma kuacha interview ituchagulie future yetu, tunakomaa tu na mtaa baada ya elimu kutusaidia kuondokana na Adui mmoja wa taifa 'UJINGA'

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Never give up mkuu, ila pia riziki inapatikana kwa njia tofauti kila mtu na yake.
 
Wataalam tusaidiane uzoefu na sisi tujibu vizuri interviews
 
Haya ni maswali yanayonisumbua ninapokuwa kwenye interview.

Sijawai kuyajibu nikapatia uwa najikanyaga siku zote. Ofcoz nazungumzia zaidi interview za kwenye NGO.

1. What is your experience in writing reports to donors?
2. What do you understand about ..... policy (yani anakutaka useme kitu kuhusu policy fulani ya kitaifa mfano education policy)
3. With examples describe your experience in doing training
Kwa hiki unachokiulizia hapa ni Uthibitisho tosha kuwa Elimu ya Tanzania ipo ICU na kwamba Watanzania wengi wamefanikiwa tu Kuhitimu Vyuo Vikuu, ila bado hawajaelimika ili kuweza Kujitambua na kutatua Changamoto za Kitaaluma na za Kiuweledi. Nimesikitika mno!!!
 
Jibu swali mbona unajibu mipasho, wewe mwenyewe hujaelimika.
Pia wauliza maswali hayo na wao hawaja frame vizuri yako too general
 
Kwa hiki unachokiulizia hapa ni Uthibitisho tosha kuwa Elimu ya Tanzania ipo ICU na kwamba Watanzania wengi wamefanikiwa tu Kuhitimu Vyuo Vikuu, ila bado hawajaelimika ili kuweza Kujitambua na kutatua Changamoto za Kitaaluma na za Kiuweledi. Nimesikitika mno!!!
Una roho ya kichawi trust me
 
Haya ni maswali yanayonisumbua ninapokuwa kwenye interview.

Sijawai kuyajibu nikapatia uwa najikanyaga siku zote. Ofcoz nazungumzia zaidi interview za kwenye NGO.

1. What is your experience in writing reports to donors?
2. What do you understand about ..... policy (yani anakutaka useme kitu kuhusu policy fulani ya kitaifa mfano education policy)
3. With examples describe your experience in doing training
Jibu utalitafuta mwenyewe hapa..Google policies mbalimbali iwe za elimu au siasa nakadhalika pitia briefly tu utapata mwanga...just Google it.
Experience ya kuandika reports kwa donors hata Kama hukumbuki Kama una bachelor report writings unazinua just go Google tu utapa Cha kusema kwenye interview..majibu humu hutapata Kama mjuaji mmoja hapo juu
 
Back
Top Bottom