Never give up mkuu, ila pia riziki inapatikana kwa njia tofauti kila mtu na yake.Ngoja waje wataalamu mkuu, sie wengine tuligoma kuacha interview ituchagulie future yetu, tunakomaa tu na mtaa baada ya elimu kutusaidia kuondokana na Adui mmoja wa taifa 'UJINGA'
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Nmekuelewa mwamba. Hii ni mentality moja ya kibabe saaana💪Ngoja waje wataalamu mkuu, sie wengine tuligoma kuacha interview ituchagulie future yetu, tunakomaa tu na mtaa baada ya elimu kutusaidia kuondokana na Adui mmoja wa taifa 'UJINGA'
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kwa hiki unachokiulizia hapa ni Uthibitisho tosha kuwa Elimu ya Tanzania ipo ICU na kwamba Watanzania wengi wamefanikiwa tu Kuhitimu Vyuo Vikuu, ila bado hawajaelimika ili kuweza Kujitambua na kutatua Changamoto za Kitaaluma na za Kiuweledi. Nimesikitika mno!!!Haya ni maswali yanayonisumbua ninapokuwa kwenye interview.
Sijawai kuyajibu nikapatia uwa najikanyaga siku zote. Ofcoz nazungumzia zaidi interview za kwenye NGO.
1. What is your experience in writing reports to donors?
2. What do you understand about ..... policy (yani anakutaka useme kitu kuhusu policy fulani ya kitaifa mfano education policy)
3. With examples describe your experience in doing training
Pamoja mkuu, Shukrani kwa kunielewa maana mtoa Mada hakunielewaNmekuelewa mwamba. Hii ni mentality moja ya kibabe saaana[emoji123]
Jibu swali mbona unajibu mipasho, wewe mwenyewe hujaelimika.Kwa hiki unachokiulizia hapa ni Uthibitisho tosha kuwa Elimu ya Tanzania ipo ICU na kwamba Watanzania wengi wamefanikiwa tu Kuhitimu Vyuo Vikuu, ila bado hawajaelimika ili kuweza Kujitambua na kutatua Changamoto za Kitaaluma na za Kiuweledi. Nimesikitika mno!!!
Mwenyezi Mungu anagawa riziki tofauti tofauti.Pamoja mkuu, Shukrani kwa kunielewa maana mtoa Mada hakunielewa
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Una roho ya kichawi trust meKwa hiki unachokiulizia hapa ni Uthibitisho tosha kuwa Elimu ya Tanzania ipo ICU na kwamba Watanzania wengi wamefanikiwa tu Kuhitimu Vyuo Vikuu, ila bado hawajaelimika ili kuweza Kujitambua na kutatua Changamoto za Kitaaluma na za Kiuweledi. Nimesikitika mno!!!
Jibu utalitafuta mwenyewe hapa..Google policies mbalimbali iwe za elimu au siasa nakadhalika pitia briefly tu utapata mwanga...just Google it.Haya ni maswali yanayonisumbua ninapokuwa kwenye interview.