ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga
Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba
Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa
1. Nimeishiwa luku nyumbani
2.mama ni mgonjwa
3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k
4.nina safari ya ghafla yani acha tu
Oya kwenye vikao vyenu huko kwenye matawi yetu mlikubaliana muwe mnajibu namna Gani?