Answer is_pole sana!Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga
Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba
Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa
1. Nimeishiwa luku nyumbani
2.mama ni mgonjwa
3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k
4.nina safari ya ghafla yani acha tu
Oya kwenye vikao vyenu huko kwenye matawi yetu mlikubaliana muwe mnajibu namna Gani?
kuepa kibanzi mkuuHiyo roho mbaya mkuu
Subiri kidogo niko mochwariHili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga
Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba
Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa
1. Nimeishiwa luku nyumbani
2.mama ni mgonjwa
3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k
4.nina safari ya ghafla yani acha tu
Oya kwenye vikao vyenu huko kwenye matawi yetu mlikubaliana muwe mnajibu namna Gani?
Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga
Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba
Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa
1. Nimeishiwa luku nyumbani
2.mama ni mgonjwa
3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k
4.nina safari ya ghafla yani acha tu
Oya kwenye vikao vyenu huko kwenye matawi yetu mlikubaliana muwe mnajibu namna Gani?
pamoja wa kwetuNakuelewa sana mkuu
Nikuambie kitu?View attachment 3253818Sipendi kupoteza muda. Nenda direct
Aisee nakupa 😅View attachment 3253818Sipendi kupoteza muda. Nenda direct