makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Sasa unacheka nini πSinza mzee wangu π π
Tatizo wanakariri sana. LolSio kila anayesema nikuambie kitu atakachokisema ni kuhusu hela.
Sisi wengine tukisema hivo, kinachofuata ni kusema , βnimekumiss[emoji7]β
ππ Daah hamnaSasa unacheka nini π
Nipo hapa sinza moriππ Daah hamna
Acha utani basi,Nipo hapa sinza mori
Unaenda kwa Warioba πAcha utani basi,
Nataka nifike mikocheni mkuu
Hapana mikocheni b, karibu na kanisa la Roma afu niende cocaUnaenda kwa Warioba π
Ukienda coca ndo unapitia pale kwa Osama πHapana mikocheni b, karibu na kanisa la Roma afu niende coca
Hapana Kuna junction utakutana nayo ya kwenda coca, na kwenda kwa Osama mpk ufike kule cloudsUkienda coca ndo unapitia pale kwa Osama π