Huwa unajibu vipi swali " nikwambie kitu"

Huwa unajibu vipi swali " nikwambie kitu"

Akisema nikwambie kitu ... Mimi namwambia niambie

Akigusia tu swala la hela Ile text kama sijaifungua Nina hold afu mafuta chat yote!

Kuhonga ni kesi ya kuhujumu uchumi
😀😅😃
 
Unanipaje kesi ya kuhujumu uchumi? Kesi isiyo na dhamana!

Siwezi kukubali hata kidogo... Nipo tayari kumpoteza mwanamke anayetaka nimuhonge ila sipo tayari kupoteza uhuru wangu na kwenda jela kwa kesi ya kuhujumu uchumi
Unakimbiza fursa
 
Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga

Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba

Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa
1. Nimeishiwa luku nyumbani
2.mama ni mgonjwa
3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k
4.nina safari ya ghafla yani acha tu

Oya kwenye vikao vyenu huko kwenye matawi yetu mlikubaliana muwe mnajibu namna Gani?
Napenda kuombwa hela.
 
Be of the same challenge
Like
Mmh mengine ya kunyamaza tu, mie mwenyewe hapa nauguliwa na ... nimeshatumia hela mpaka bas
 
Ukitaka kujua mwanamke hana msaada kwenye shida, atakujibu tu haya basi sawa!!
😀😀😀😀Baaasi hapo umeshajijengea defensive mechanism ya kupigwa mizinga, akileta suala la hela unamkumbusha kuhusu hiyo milioni 2 inavyokuzingua kupata
 
Back
Top Bottom