Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mkuu adui hapewi mkono mara2, atakuangamizaUkitaka kumuua mtu aliyekudharau, mjali, mtendee wema. Hakika lazima ajione fala.
hiyo huwa ni kanuni yanguMkuu adui hapewi mkono mara2, atakuangamiza
Hii Ni nzuri na Ni Kanuni ya Yesu. Lakini utekelezaji wake ni mgumu kidogoUkitaka kumuua mtu aliyekudharau, mjali, mtendee wema. Hakika lazima ajione fala.
sio kwamba ni ngumu kidogo bali ni ngumu sanaHii Ni nzuri na Ni Kanuni ya Yesu. Lakini utekelezaji wake ni mgumu kidogo
Ni kweli. Hapa Nipo na mtu aliyenichonganisha na Boss. Sasa najitahidi kumchukulia positive lakini napata changamoto kidogosio kwamba ni ngumu kidogo bali ni ngumu sana
mtenge mbali na wewe mkuu ili usiutese moyoNi kweli. Hapa Nipo na mtu aliyenichonganisha na Boss. Sasa najitahidi kumchukulia positive lakini napata changamoto kidogo
Changamoto Ni imani yangu hairuhusu uaduimtenge mbali na wewe mkuu ili usiutese moyo
Ni kweliHaya maisha usimdharau mtu, kesho hatuijui kabisa. Uwe ni umepata mchongo wa kazi, umeolewa au umetoboa life usimdharau uliyemuacha nyuma kabisa.
Mambo hubadilika
Kabisaa! 🙌Hii Ni nzuri na Ni Kanuni ya Yesu. Lakini utekelezaji wake ni mgumu kidogo
haumpigi wala kumtukana bali unamtenga na kumtenga sio kosaChangamoto Ni imani yangu hairuhusu uadui