Huwa unajisikiaje kuchati na mpenzi anayejibu meseji akijisikia au anachukua muda mrefu kujibu

Mimi Kama mbususu ananipa Niki ihitaji kwa wakati Sina shida na sms zake hata nikimpigia ikiwa inatumika Atajijua mwenyewe. Ila tu awe ananipa kipochi manyoya kwa wakati. Ila sms anajibu kwa wakati alafu kipochi manyoya anazungusha Nampiga chini sitaki mapenzi ya kishuleshule Mimi.
 
Ina tegemea na nature ya hayo mahusiano unless uwe unazungumzia malaya
 
Hakuna mtu yuko busy kama mtu am aye hakupendi anaweza akakwambia kata simu nifunge fridge
 
Vijana huo muda wa kuchati chati kama vitoto vya kidato cha pili mnaupata wapi?
 
Mtu anakujibu kwa kujiskia bado unamuita mpenzi😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…