Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hayo mabomu ndiyo chanzo cha kulea mitoto ya kina mwakyusa ndani ya nyumba yako wakati wewe ni mabulaHuwa napenda kukagua ila siku hizi sikagui sababu sitaki na yeye akague yangu
Nina mabomu ya machozi mengi akishika tu atalia🙌
Simfahamu.Hata ya Lamomy hushiki?
Wewe siku utakayokuja kugunduwa kuna msela tu anamkaza mke wako nina uhakika utanyinyonga na mke wako ndio atakuwa anabanduliwa vizuri ukiwa umelala kaburini.Kama mke na mume mkitaka kuwa na amani katika maisha yenu ya ndoa basi msiwekeane siri, naunga mkono 100% kama mke anashika simu yangu hakuna shida awe huru na password zote nampa simu yangu ni simu yake na mimi kwake the same. Kwanini uwe na jambo la kuficha. Mnakuwa huru na maisha yanakuwa matamu.
Jukumu la mwanaume ni kuwa mlinzi, kiongozi na kichwa cha familia sasa lazima umsimamie kikamilifu.Sikagui simu ya mke wangu kwakuwa naye anafaragha zake ambazo sipaswi kuzijua,hii ni nje ya mahawara,ujue wanaume tuna shida tunajiona sisi ni wakamilifu Kwa Kila kitu,vile mwanamme unatamani nje na mwanamke na yeye hivyo hivyo.
Kikubwa nisijie,ila pia Mungu hamfichi mnafiki kama mke wangu atakuwa na Tania za mahawara nitajua tu. Over
Niko kwenye ndoa miaka zadi ya 16,sijawahi kuona viashiria vya dharau na Wala sijawahi kupiga mke wanguJukumu la mwanaume ni kuwa mlinzi, kiongozi na kichwa cha familia sasa lazima umsimamie kikamilifu.
Wanawake wanapenda wanaume wenye misimamo hasa sio kumpa uhuru wa kijinga atakuona fala ataenda kutafuta mwenye msimamo.
Kuna mwanamke post ya hapo juu amesema yeye anapenda sana mwanaume wake amuamrishe "lete simu yako hapa" na akae nayo kwa muda ndiyo ana enjoy.
Sasa wewe endelea kujilegeza atakuchukulia kama mwanamke mwenzake manake hakuna sauti ya mamlaka juu yake.
Sasa wewe mjanja akibanduliwa ukijuwa au kutokujuwa inabadilisha nini, lipi bora kujuwa na kuachana au kutokujuwa lakini huku watu wanakupiga vijembe ukijiona mjanja watu wanakuona bwege wakijuwa mkeo malaya na wewe huna unalojuwa. Nakushangaa eti ujinyonge kwa kuwa mkeo anatembea nje mjinga mkubwa. Tulikuwa na wanawake wangapi tuliwapenda na kuona bila wao maisha hakuna leo hii hata kuwakumbuka tu hatuwakumbuki, na wengine tukikutana nao tunajuliza hivi huyu nilimpendea nini.Wewe siku utakayokuja kugunduwa kuna msela tu anamkaza mke wako nina uhakika utanyinyonga na mke wako ndio atakuwa anabanduliwa vizuri ukiwa umelala kaburini.
Yaani wewe ni jinga kwelikweli
Sasa wewe mjanja akibanduliwa ukijuwa au kutokujuwa inabadilisha nini, lipi bora kujuwa na kuachana au kutokujuwa lakini huku watu wanakupiga vijembe ukijiona mjanja watu wanakuona bwege wakijuwa mkeo malaya na wewe huna unalojuwa. Nakushangaa eti ujinyonge kwa kuwa mkeo anatembea nje mjinga mkubwa. Tulikuwa na wanawake wangapi tuliwapenda na kuona bila wao maisha hakuna leo hii hata kuwakumbuka tu hatuwakumbuki, na wengine tukikutana nao tunajuliza hivi huyu nilimpendea nini.
Ukiwa na mke au mume kama hamuaminiani basi nyinyi ni kama malaya wa Sinza tu tofauti