Huwa unakumbuka Kuscan "Program" au "File" kabla ya Kudownload?

Huwa unakumbuka Kuscan "Program" au "File" kabla ya Kudownload?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Kabla ya kufungua jalada 'File' lolote ulilopakua 'download' au kutumiwa, kumbuka ku-scan na programu ya Antivirus ili kuhakiki kama ni salama na halina virusi au 'malware'.

Pia, kumbuka kupakua programu au File kutoka vyanzo vinavyoaminika.

Kupakua programu au faili kutoka tovuti isiyoaminika inaweza kuwa hatari hivyo ni muhimu kuchukua tahadhari.

Unaweza kupakua programu hatarishi zinazoweza kusababisha kuvuja kwa taarifa zako binafsi, uwizi wa utambulisho na hata kuharibu kifaa chako
 
Back
Top Bottom