Huwa unamspoil baby wako na zawadi (gift) zipi?

Huwa unamspoil baby wako na zawadi (gift) zipi?

Papa wanawake hatuna kingine cha kuwaoffer tulishakubaliana hilo pande zote mbili na tukalipitisha 😹😹
Tena wanachagua wenyewe, papa la kukaanga, Kuchoma,kuchemsha au kipapatio 😅😅😅
 
Wakuu huu ni mwaka mwingine wa kufosi.

Lazma kieleweke.

Tumegeane hizi maujanja.

Notes zinachukuliwa kama kawaida na hakuna ile kitu mtu atafanya!

🖋🖋🖋
Hivi ku spoil si nikuharibu?? Siwezi kumuharibu bebe wangu😀😀
 

Attachments

  • 3AE0D3E2-EB1C-483C-8C8D-13A06C1366F5.png
    3AE0D3E2-EB1C-483C-8C8D-13A06C1366F5.png
    406 KB · Views: 1
Back
Top Bottom