Huwa unamspoil baby wako na zawadi (gift) zipi?

Papa wanawake hatuna kingine cha kuwaoffer tulishakubaliana hilo pande zote mbili na tukalipitisha 😹😹
Tena wanachagua wenyewe, papa la kukaanga, Kuchoma,kuchemsha au kipapatio πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wakuu huu ni mwaka mwingine wa kufosi.

Lazma kieleweke.

Tumegeane hizi maujanja.

Notes zinachukuliwa kama kawaida na hakuna ile kitu mtu atafanya!

πŸ–‹πŸ–‹πŸ–‹
Hivi ku spoil si nikuharibu?? Siwezi kumuharibu bebe wanguπŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…