Kama mimi....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umaarufu
[emoji252] [emoji479]
Mkuu ww chura unayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mtu Kama rutashobya au cocochanel siwezi kuwapa like[emoji16]
Hapana, nilianguka bafuni kwahyo pita tu kimyakimyaMkuu ww chura unayo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ulivyoanguka chura wako akapotea mkuu
Mbona umenipa?Kiukweli mimi CCM hata aandike point kivipi simpi like.
Mbona umenipa?
[emoji252] [emoji479]
Uchoyo si mzuri. Mengineyo ninyime, hadi like! Hapana. [emoji124] [emoji124]watoa like maarufu bila sababu
Shunie
Mwifwa
bbae
Sesten Zakazaka
love b
mumu
Ushimen
Raynavero
Mzigua90
Ambiele Kiviele
Hajar
Maxence Melo
yna2
Demiss
wapo wengi siwezi kutaja wote hapa nimesahau wengine wao wanatoa tu haijalishi pumba wala point
ni kweli dada uchoyo haufai...me nipe tu hadi hayo mengine kama yapo usininyimeUchoyo si mzuri. Mengineyo ninyime, hadi like! Hapana. [emoji124] [emoji124]
Huna mpango mzuri na mimi . unataka madam anianzishie timbwili nifukuzwe jf?!? Mi natoa tu likeni kweli dada uchoyo haufai...me nipe tu hadi hayo mengine kama yapo usininyime
mmmh kwani hivyo vingine unavyonyimia ni vipi??Huna mpango mzuri na mimi . unataka madam anianzishie timbwili nifukuzwe jf?!? Mi natoa tu like
(....)mmmh kwani hivyo vingine unavyonyimia ni vipi??
sasa kama unanyimia mbona me umenipa hapa??(....)