Huwa unatumia kigezo gani kumpa mtu likes humu jf ?

Huwa unatumia kigezo gani kumpa mtu likes humu jf ?

watoa like maarufu bila sababu
Shunie
Mwifwa
bbae
Sesten Zakazaka
love b
mumu
Ushimen
Raynavero
Mzigua90
Ambiele Kiviele
Hajar
Maxence Melo
yna2
Demiss

wapo wengi siwezi kutaja wote hapa nimesahau wengine wao wanatoa tu haijalishi pumba wala point
 
watoa like maarufu bila sababu
Shunie
Mwifwa
bbae
Sesten Zakazaka
love b
mumu
Ushimen
Raynavero
Mzigua90
Ambiele Kiviele
Hajar
Maxence Melo
yna2
Demiss

wapo wengi siwezi kutaja wote hapa nimesahau wengine wao wanatoa tu haijalishi pumba wala point
Uchoyo si mzuri. Mengineyo ninyime, hadi like! Hapana. [emoji124] [emoji124]
 
Inategemea nipo uzi gani. Kama ni ule uzi maalum wa kupeana likes nikiingia nalike kwanza kabla ya kuanza kusoma.

Kwingine nasoma nikifurahi hata kama ni pumba, na like.

Kingine kuna mtu akipost hata akiweka nukta au akiweka emoji na like.

Sasa unapisema like hazitoshi kuonyesha hisia, ulitaka nini kifanyike mkuu?


carbamazepine
 
Back
Top Bottom