Huwa unatumia kigezo gani kumpa mtu likes humu jf ?

watoa like maarufu bila sababu
Shunie
Mwifwa
bbae
Sesten Zakazaka
love b
mumu
Ushimen
Raynavero
Mzigua90
Ambiele Kiviele
Hajar
Maxence Melo
yna2
Demiss

wapo wengi siwezi kutaja wote hapa nimesahau wengine wao wanatoa tu haijalishi pumba wala point
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwa mimi mpenzi mtazamaji nasambaza upendo tu, ila jukwaa la Siasa wale ninaopingana nao ni mara chache sana kuwapa like.
 

Elezea hisia zako juu ya kile kilichokukosha. Yaani sifia kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…