love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,162
Hehehe!!! Basi wewe umshindisasa kama unanyimia mbona me umenipa hapa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe!!! Basi wewe umshindisasa kama unanyimia mbona me umenipa hapa??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]watoa like maarufu bila sababu
Shunie
Mwifwa
bbae
Sesten Zakazaka
love b
mumu
Ushimen
Raynavero
Mzigua90
Ambiele Kiviele
Hajar
Maxence Melo
yna2
Demiss
wapo wengi siwezi kutaja wote hapa nimesahau wengine wao wanatoa tu haijalishi pumba wala point
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ni kweli dada uchoyo haufai...me nipe tu hadi hayo mengine kama yapo usininyime
Yajayo yanafurahisha, ngoja nikae chonjo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hapo unatoa kwa points sio?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa mimi mpenzi mtazamaji nasambaza upendo tu, ila jukwaa la Siasa wale ninaopingana nao ni mara chache sana kuwapa like.
Usiwe na shaka kabisa
umeanza kazi kwani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa point na kuunga mkono/kutia moyo wale wote wenye mtazamo sawahapo unatoa kwa points sio?
subiri madame aje ndo uanze kazi
Kazi ya pembeni ndio habari ya mjini mkuusubiri madame aje ndo uanze kazi
Nishaitamka Bismillah kitambo tu hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
fanyakazi mkuuKazi ya pembeni ndio habari ya mjini mkuu
Mbele Daima, nyuma mwikofanyakazi mkuu
Umaarufu
[emoji252] [emoji479]
Umaarufu
[emoji252] [emoji479]
Inategemea nipo uzi gani. Kama ni ule uzi maalum wa kupeana likes nikiingia nalike kwanza kabla ya kuanza kusoma.
Kwingine nasoma nikifurahi hata kama ni pumba, na like.
Kingine kuna mtu akipost hata akiweka nukta au akiweka emoji na like.
Sasa unapisema like hazitoshi kuonyesha hisia, ulitaka nini kifanyike mkuu?
carbamazepine